Player_logo Podcasts Community Create a Podcast
460>_2758896

Usikose kuungana na mtangazaji wako wa Idhaa ya Kiswahili ya Bongotz Dosebit Nyangema kila siku ya Jumatatu kusikiliza kipindi cha " Muziki wa Nyumbani!" Burudika na vibao motomoto toka enzi hizo...

[PLAY]
460>_619613

460>_619614

Sikiliza Rais wa Benki ya Dunia Bw, Paul Wolfwitz na mikakati yake ya kupambana na Rushwa barani Afrika....

[PLAY]
460>_619615

Nchi wafadhili na wadau mbalimbali ndani na nje ya nchi wamekuwa wakijitolea mno kuisadia serikali ya Tanzania mamilioni ya fedha kwa lengo moja la kuinua hali ya uchumi pamoja na kutatua matatizo mbalimbali ya kijamiii hususani uboreshaji wa sekta ya elimu, afya na miundombinu kwa ujumla. Je, ni nini mchakato Bw. Jakaya Kikwete na serikali yake ya awamu...

[PLAY]
460>_619616

Katika moja ya hotuba zake, Mwl Julius Kambarage Nyerere aliwahi kuonya na kusema, "...maendeleo ya bara la Afrika hayawezekani bila amani," na kwamba dawa ya vita ya wenyewe kwa wenyewe barani Afrika ni maendeleo na umoja. Je, ni nini tunachojitaka kukifanya kwa pamoja kama waafrika ili kuweza kuliendeleza bara letu?
>Tuma maoni yako: webmaster@bongotz.com
> Kwa mahojiano ya moja kwa moja na Idhaa Ya Kiswahili Ya BongoTz kuhusiana na maada hii piga simu: (574)-299-9169.

>kusikiliza makala ya juma hili: kongoli |Download| hapo chini...

[PLAY]
460>_2540267